naona wewe una hamu ya kumuita mtu mwizi au kujionesha mbele ya watu kwamba wewe naye umeibiwa....wewe unawezeakuidhi kwa hicho kisai kidogo cha pesa????? au mkuki mtamu kwa nguruwe??
50,000 Tsh kwa mwezi /wiki /kwa siku? dah kama ni kwa mwezi ndio najua kwa nini kuna vijana wanazamia nchi za ulaya kusingizia wanatoka congo na kukana utanzania. Dah haya bwana, kila la kheri hope utampata tu