Kazi ya bar

Superson

Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
16
Reaction score
10
Msichana wa kuuza bar anahitajika
Sifa
Awe mwaminifu.
Awe unafahamu hesabu vizuri
Awe na mwonekano mzuri.
Awe na umri kuanzia 20 - 26
Kama wewe ni msichana na una sifa hizo nicheki 0656560158
Location Makumbusho DSM
Deadline: Kesho.
 
Dead line ni kesho?!!!
Hebu ongeza ongeza siku mkuu mwajiri wetu wewe
 
Umri ndo tatizo
Kazi nshaikosa mimi
 
Kuna watu wana mbinu kali za kudaka mademu mwenyekiti hii mbinu yako nzuri sana
 
Msichana aliyekuwa serious anicheki kesho aanze kazi seriously call me 0656560158
 
Kuuza baa sio lazma awe mwanamke,hata mm naweza mkuu. Tena ni mchapakazi kweli kweli,hebu naomba mm hyo kazi
Msichana aliyekuwa serious anicheki kesho aanze kazi seriously call me 0656560158
 
Huo muenekano mzuri una uhusiano gani na kazi umeshawahi ona kuna sehemu wanataka mtu wa kazi wanatoa kigezo cha awe na muenekano mzuri
Boss sio kila mtu anatafuta mademu ebu badilika kifikra ww
 
Huo muenekano mzuri una uhusiano gani na kazi umeshawahi ona kuna sehemu wanataka mtu wa kazi wanatoa kigezo cha awe na muenekano mzuri
Itakuwa ww ndo lengo lako hapa maana fikra zako zipo kwa mademu tu huna point ya maana kaa kimya shobo za nn sasa wenye shida watajishughulisha na post
 
Nimekuelewa madam nashukuru kwa muongozo wako uliotukuka
Itakuwa ww ndo lengo lako hapa maana fikra zako zipo kwa mademu tu huna point ya maana kaa kimya shobo za nn sasa wenye shida watajishughulisha na post
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…