Wakuu naomba kujua majukumu ya afisa biashara,vp ni kazi inalipa maana kuna jamaa ameniambia siku hz ni kama hawana kazi za kufanya maafisa biashara na maafisa ushirika walioko halmashauri niamben jaman