Kazi wakuu

Kazi wakuu

godizila

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
846
Reaction score
387
TEACHING POST (7)

HEAD TEACHER,BIOLOGY AND CHEMISTRY,PHYSICS AND MATHEMATICS Tanzanian only.
But also we are in need of UGANDAN TEACHERS.

1. Head Teacher.
School location: Kigamboni Dar es salaam
Gender: Female/Madam
Age : From 30 and above
School level: Nursery to Grade iv
Qualification: Diploma or Degree
Working Experience: one to Three in Management acadmic/head
Salary from 500,000/ to 650,000/=

2. Biology and Chemistry.
School location: Muheza Tanga and Kongowe Mbagala
School Level: Ordinary level (Boys only Tanga)
Qualification: Diploma and Degree.
Addition: Not with E or F in Teaching Subjects (Advance)
Salary Range: 800,000/= to 920,000/=
Other: Lunch, Breakfast and House

3. Physics and Mathematics
School Location: Kibaha Coast and Muheza Tanga
School Level: Ordinary levels
Nature of the School: both (Seminary boys only)
Qualification: Diploma and Degree.
Addition: Not with E or F in Teaching Subjects (Advance)
Salary Range: Tanga 800,000/= to 920,000/=
Salary Range : Kibaha 400,000/= to 500,000/=
Other: Lunch, Breakfast and House
Religion: Christian Only (Tanga and Kibahan)

4. Ugandan Teacher Needed.
We are in need of Teachers from Uganda
Subjects: Science and Mathematics
School: Location is Ilala Dar es salaam
School Level: Primary Level
Offer: Work permit and Resident Permit
Salary Range: 450,000/= to 500,000/= Tanzanian Money.
Other: Lunch, Breakfast and House

Information:
These posts are govern by Job Junction Tanzania
the one and only Teachers Networking Centre in Tanzania
Contact as :
Email: jobjunctiontz@gmail.com
Call: Dar es slaam Head office
+255656116023
+255743692671
Do this:
visite our web and Submit your email address to get direct postin your email account.

follow us Instagram: Job junction Tanzania

JOB JUNCTION TANZANIA ONLY ORGANIZATION IN TANZANIA TEACHERS ARE PROUD OF.
 
Kwanini unataka wa Uganda kufundisha Sayansi na Mathematics wakati wapo watanzania nguli wanayajua masomo hayo. Sheria hairuhusu kuwaleta maana tupo tunaojua kufundisha masomo hayo ingekua unaowaleta wanakuja kufundisha Kiganda sawa
 
Hao ukiwapigia cha kwanza wanakuambia fika ofisini kwetu magomen na pesa ya 4m ef20 ukishawapa hapo yanayofuata utasimulia
Mmhh kuna bro kawapigia wamemwambia aende magomen mwisho sjui supermaket gan akifika atawakuta pia wamemsisitiza apeleke cv na asambaze tarifa kwa wengine kumbe ndo anaenda kuibiwa hvo
 
Sijui aisee huenda ikawa bahat yake
 
Huenda akaambiwa huko huko atoe elfu20 inauma mwenyewe anatafta hela then atoe hela??
Hicho lazima aambiwe maana namie nlishawahi aambiwe nitoe hela aah nkastuka

Maana nilisoma mabandiko humu ya watu wakiwasema hao hao hebu search teachers junction
 
Duuuh ndugu yangu kafurahi kweli kumbe wanataka hela ...ulivoenda ulilipa ukapewa risit???
 
Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.

Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.

Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.

Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.

Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.

Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.

Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
 
Oya we boya, acha ujinga nenda hata uwanja wa fisi unaweza kubahatika kupata kazi, kila mahali kwenye huu ujinga wa job Junction upo na hii comment. Kama umepata kazi kupitia huko bc tulia na kazi yako sio lazima wote tupate hy kazi, hizo pesa mnazotapeli watu zitawatokea kwenye tundu lenu la nyuma
 
Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.

Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.

Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.

Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.

Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.

Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.

Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
Rubbish sperms
 
Back
Top Bottom