Wanahitajika vijana 6 wenye kujituma na uzoefu wa kazi ya masoko.
Vigezo:
Uzoefu wa kazi kuanzia mwaka mmoja,kiwango cha elimu kitapimwa na uwezo na uzoefu wa kazi,awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza na kiswahili kwa ufasaha, kama unahisi unasifa za kutosha tuma cv na cover letter kwenda
legacyimpression@gmail.com
NB: malipo ni kwa kamisheni
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Bila kutaja jina la kampuni na aina ya bidhaa au huduma inayotakiwa kutolewa na hao vijana wa masoko, bila shaka kila mwenye akili timamu atahusisha utapeli wa style ya ajira!
ndugu kwanza taja malipo na kampuni maana isije ikawa kazi zile za kuzungusha watoto wa wenzenu juani kwa 500/= tsh
Ingekuwa niko kwenye press conference ningejibu kila swali ili niwaridhishe lakini nimetoa nafasi za kazi kusaidia kupunguza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira mtaani kwenu napo unataka nijieleleze kama natafuta masoko
Sent from legacy company