Naweka link yakazi hapa wale mnaolalamika mkitaka mpewe maelezo yakazi subirini na kama mnatumia mobile poleni mmejawa na uvivu mnataka kila kitu kwenye kiganja hamuwezi kwenda cafe!! https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=SJ&vacancy=All
Mkuu nakumbuka ulilite thread kama hii Sept 2011 nilijaribu kuapply like 70 post mpaka sasa bado wananijibu
nimeshapokea reply kama 40 zote rejected, ila thanks mkuu