rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Sidhani kama umemwelewa rakeyescarl! Just read between the linesmi naona sawa tu.Maana hawa watakuwa waaminifu kazini, kwanza hawatatoa udhuru kama misiba,vikao vya harusi na....Kwa sababu wako ugenini watakuwa watii vizuri.Hata mm ningefungua kampuni kenya ningetafuta watz kufanya kazi.
Sijui nitapata ajira mimi na advance diploma yangu ya computer?nimeomba kazi mpaka nimechoka.poa tu
mkuu mbona kuna mdada anafanya hapo ni mbongo acha hzo fanya utafiti vizuri mkuu..Ndg M TZ,Kama mpaka leo hujapata kazi hizo hapo juu na hujui kwanini nenda Quality Plaza/Pugu Road njia ya kwenda uwanja wandege, kuna supermarket /duka la UCHUMI-kutoka kenya.Wanasema wamekuja na wafanyakazi wao kuanzia mlinzi,mpishi,mpaka mfagiaji kwa sababu wa Tanzania ambao ni qualified hamna.?*?Hivi ndg zetu wa Immigration mnafanya kazi kweli,maana sitaki kuamini kama hawa jamaa wanavibali vya kazi-serikali yetu ilivyo makini haiwezi kufanya kosa hilo.Nasikia Uchumi Supermarket ni serikali ya Kenya,jamani kama ni kweli hawawezi hata kutuonea huruma -hii Afrika mashariki ikikolea tutakimbilia wapi sisi,hii sio timing bomb?Yangu macho!
mkuu mbona kuna mdada anafanya hapo ni mbongo acha hzo fanya utafiti vizuri mkuu..
Acha waje! Wtz tumezidi uvivu na ulaghai hatuajiriki ngoja tutie akili