Habari wana jamvi kwa tetesi kutoka kwa mtu wa ndani tra kaniambia kua zile nafasi walizotangaza watu wameshaitwa ofsn kutokana na majina yaliokua reserved suala langu ni kwanini walituambia tuombe
guys kuweni wapole... hakuna mtu hata mmoja aliyeitwa kinyemela na ukweli ni kwamba wapo katika hatua za mwisho na mtaitwa. tra is tryng ts level best to be fair, equality and professionalism
guys kuweni wapole... hakuna mtu hata mmoja aliyeitwa kinyemela na ukweli ni kwamba wapo katika hatua za mwisho na mtaitwa. tra is tryng ts level best to be fair, equality and professionalism
hapana tra wako very wanajitahidi saana kufuta haki kwenye ajira,tra ya zamani ndio ilikuwa bomu,lakini kuanzia mwaka 2005 nA kuendelea mambo safi,mashirika yanayotumia nepotism kwenye ajira ni tanesco,tanroads,nssf etc
Mkuu tracy martins;comments yako.iko poa ila kwa tanesco kwa sasa nao wamepunguza nepotism kwa engineering sijajua kwa upande mwingine coz nilifanya interview na watoto wa wakulima wenzangu wameingia nami nimepata hope la kuingia