Kazi.toa ushauri wako

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,959
2,938
Habari zenu wana jf.
Kuna rafiki ameniuliza swali.Yeye ana taaluma na vyeti vya taaluma zifuatazo
1. An INTERNATIONAL QUALIFIED FIRST AIDER -Cheti international qualified First Aid Certificate
2.CHILDREN DAY CARE CENTRES WORKER CERTIFICATE
JE FANI HIZO AJIRA ZAKE HAZISUMBUI?
 
Ajipange kutafuta kazi sio kukaa na kusema ajira zake hazisumbui wakati tayari ameshasomea hayo masomo.
 
Atafute kazi kwny NGOs asibweteke kukaa tu atembee ipo siku atapata na kupost cv kwny mtandao kila mara
 
Yeye si nasema kuwa ajira hasisumbui basi aendelee kukaa tu kama kuna kazi itakayomfuata akiwa amekaa badala ya kuchakarika anaendelea kujidanganya kuwa ajira za hizo course alizosomea eti hasisumbui dar kweli tumetofautiana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom