kazi stastionary kwa wadada 2

kazi stastionary kwa wadada 2

maize

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
22
Reaction score
1
Naitaj binnt mchapakaz.stationary ipo dar.mshahara laki moja plus bonus.kama utakuwa tayar nipigie 0689250256
 
Mshaara wa laki moja pamoja nauli+kula? Au nauli na msosi wa mchana unampa? Kwa DSM nauli tu kwa mwezi haipungui 50,000/= chakula sh 2,000/= kwa mwezi 60,000/= jitahidi uongeze mshahara @ lst 150,000/=
 
nami nimehitaji kwa muda mrefu sana
Mshahara 150,000.
Bonus ipo kutokana na biashara itakavyoenda....
Awe anajua
Goog Speed in typing
Card designing
Elimu at least form 4
Hakai mbali sana na maeneo ya kazi yani awe around ubungo sinza mabibo magomeni maana nahitaji kazi zianze saa 1 hv....
Mchapa kazi mzuri
Mwaminifu wa jumla
 
contacts zako mbna hujatoa?
 
Anafanya kazi masaa mangapi kwa siku?
Nipe tu mchanganuo anaaza sa ngap, anapumzka sa ngap na anatoka saa ngapi?
 
Anafanya kazi masaa mangapi kwa siku?
Nipe tu mchanganuo anaaza sa ngap, anapumzka sa ngap na anatoka saa ngapi?

Join Date : 19th January 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

SO HUU NDIO MCHANGO WAKO KWA POST YA KWANZA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom