KAZI: Procurement & Logistics Management

Queen Rover

Member
Apr 29, 2015
88
79
Tafadhali Pita Hapa
Habari Za Humu Wapendwa...
Mimi ni mwanafunzi, niliyehitimu ngazi ya cheti katika kozi tajwa hapo juu... Kwasasa bado naendelea na ngazi ya diploma kwenye kozi iyo iyo katika moja ya chuo kilichopo Dar es Salaam....

Pia, nimewahi kufanya kazi ya Muda mfupi katika ofisi zinazojihusisha na maswala ya mawasiliano,pia nilikuwa mshauri mzuri katika kipindi chote nilichokua hapo.

Nina ujuzi tofauti tofauti ikiwemo kubuni vitu na kutengeneza products mpya tofauti na zilizopita, katika kampuni husika, na kuvutia wateja,mbali na hayo ni mwelewa na mwepesi sana katika kazi.

Nimesoma kozi iyo na bado naendelea kwa masomo ya jioni kwa maana siku nzima nakua free, ivo natafuta sehemu ya kujishikiza. Sio lazima iwe ya kozi iyo, ila pale napoweza kufanya nitafanya.

Jinsia ni KE
Naishi Dar
Umri 22

Ni Pm. Nami nitajibu.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom