Kazi Postal Bank

farfadh2009

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Jamani naomba kuuliza,mbona kila nikituma application ya postal bank kupitia hiyo email address(recruitment@postalbank.co.tz) wanayotoa haiendi/Plz someone give me the soln if you have any!
 
Nimewatembelea makao makuu wanadai system yao ni mbovu ila email wanazipokea,nilipowauliza nitaamini vipi walisema sisi ndio tunakueleza na kwa wale ambao wametuma mara nyingi watazifuta zingine.
 
ukiona hivyo jua u don't qualify for the job so automatically the system rejects your so called 'application for the job'!!!sorry ooo!!!! but all in all, don't worry my dear kumbuka ule msemo usemao 'likuepukalo lina kheri na wewe'...
 
Naamini hujaelewa nilichouliza!So plz usikurupuke sk nyingine!For more understanding go back to my prior posting!
 
siyo ww tu.. hata mie nmekutana na hiyo issue.. nmeamua kupotezea.. kama n kweli wanareceive hizo mails au vp..
kitakachojili anajua Muumba!! kama ipo ipo tu!!
 
jarbu mara nyingi hua inakubal baada ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…