Kazi part time

Huyu jamaa anasifika kwa kutolipa wafanyakazi wake na kuwafukuza kila baada ya muda mfupi

Na ndio maana kila mara anatangaza nafasi za kazi

Ushahidi ni nyuzi zake mbali mbali na response kutoka kwa wadau waliofanya kazi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…