dah! kabla sijafungua nilijua tu nii picha kwa kuwa nilishaiona sehem nikajua ni photoshop. huu kweli ubunifu wa kivita
Hata mimi naiona imekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia, hebu wacheki hao jamaa askari ni kama wapo single line wakati kama mkitaka kushambulia ni lazima mkae V au Extended line. Hao walita kuonyesha mataifa kuwa vita hiyo ni nyepesi na kuwajenga watu kisaikolojia kuw haikuwa na madhara makubwa ikiwemo vifo na majeruhi.Hii picha ya kutengeneza ni ulongo mtupu hebu angalieni aliechuchumaa anapiga mgongo wa mwenzake ama?!! Mbwa wa Nato ndio kazi yao kuzusha