THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,887
- 15,291
mdau mie ninafit na certificate toka TIA namba zangu ni 0712162034 nasubiria phone call
hakuna kazi hapa!
Nawe Uko Mtwara?
shida inakua kwanini hawahitaji hiyo added value ya certificate? Kama diploma au degree? Au ndo masuala ya scheme zenu? Mna hela ya kumtosha mtu wa certificate? Vijana kama mko seriouse changamkieni bahati zenu hizo jamani msilale.
kwani dar hadi mtwara kuna umbali gani? chezeya fastjet weye!. mia
ni-pm namba zako ..........au mi ndo sijaelewamdau mie ninafit na certificate toka TIA namba zangu ni 0712162034 nasubiria phone call