Legacy Impresion Company inatangaza nafasi za kazi nafasi ya Sales and Marketing nafasi ziko 4. mtumaji awe na uzoefu wa kazi pia awe na uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza kwa ufasaha. Tuma Cv pamoja na Cover letter kwa email
legacyimpression@gmail.com.
watakaochaguliwa ndio watakaoarifiwa.
NB. malipo yatakuwa kwa kamisheni.