Kazi Morogoro

Huu ni ubaguzi kama ule wa Nyerere wa watu wafupi kutoruhusiwa kuingia Jeshi kumbe alikuwa anataka nduguze wakurya kutoka Musoma wajae kwenye ajira za Jeshi
Tunahitaji wakazi wa morogoro.. ambao ni wazoefu wa mitaa ya huku
 
Tunahitaji wakazi wa morogoro.. ambao ni wazoefu wa mitaa ya huku

Acha hizo bana mbona Makonda ni Rais wa Dar wakati yeye ni mwenyeji wa Kolomije na anachapa kazi bila nongwa?
 
Tangazo hata halieleweki ,, deadline ni lini?, na jina la hako katasisi ni lipi? ,,,

NB
Kama hupendi kutembea kwa miguu km nyingine hii kazi haifai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…