Ajira tanzania hivi sasa ni kujuana au pesa mpaka uwe na refa ndio upate kazi . Mara nyingi kazi hutangazwa kama kufuata taratibu tu lakini wanakuwa na watu wao ndio maana umeona wote hamkuchaguliwa . Usishangae hata sasa ukaenda tena mambo yakawa vile vile. Hii ndio Tanzania yetu! Kuna mtu yuko home anaambiwa kesho kazini hana shida.