Habari,
Mimi ni msichana wa miaka 22,nipo chuo nachukua "degree ya Computer Science".Kwa muda wa likizo ningependa kufanya kazi katika chombo chochote cha habari kwa kujitolea.Nia yangu ni kupata uzoefu kwani ni fani ambayo ninaipenda japo kwa sababu moja ama nyingine sikufanikiwa kuisoma moja kwa moja.
Ahsante.