Mkuu Acha kutanguliza habari za Fadhira, Njia sahihi ni hii apeleke barua za ku-volunteer kwenye mashirika hayo. Hiyo itamsaidia kama ikitokea kuna miradi inakuja kwenye shirika itakua rahisi kwake sababu atakua tayari ana ujuzi wa kutosha kuhusu shughuri za miradi ya wahisani.