Wadau Mdogo wangu ana umri wa miaka 24 anatafuta kazi kwenye mashirika ya Ukimwi ata Wakimbizi mwenye connection uko tafadhari ana diploma ya sheria tutajitahidi kurudisha fadhira
Mkuu Acha kutanguliza habari za Fadhira, Njia sahihi ni hii apeleke barua za ku-volunteer kwenye mashirika hayo. Hiyo itamsaidia kama ikitokea kuna miradi inakuja kwenye shirika itakua rahisi kwake sababu atakua tayari ana ujuzi wa kutosha kuhusu shughuri za miradi ya wahisani.
Fadhira=Fadhila
Mdogo wako hana access na JF kwanini akutumie wewe kupost tangazo lake?
Nakushauri mwambie aposti mwenyewe itasaidia sana wadau kumuuliza maswali directly.
Kila la heri kwake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.