ABDUL.M.KASSEBEA
Member
- Apr 25, 2014
- 36
- 3
Kwa nini usimfundishe huyo anayekubania papuchi?
Kwani ukimtafutia dereva mwanaume kuna tatizo gani?Gari sioyanguniyabimkubwa.umriumeenda anaitaji kuendeshwa.
loading error....try again.
Kwa nini usimfundishe huyo anayekubania papuchi?
loading error....try again.
Unastahili BAN.......kila thead sio lazima uandike upuuzi wako huu, soma usepe
Kwani ukimtafutia dereva mwanaume kuna tatizo gani?
Utanilipa shilingi ngapi?
Maana itabidi niache hii kazi ya kuajiriwa steshenari nije nimuendeshe Bi mkubwa wako..!
Hii ipeleke kwenye jukwaa la KAZI/TENDER na uandike "DEREVA WA KIKE ANAHITAJIKA". Mama ndiyo amesema anahitaji dereva wa kike au nyie ndiyo mmemwamulia? Wanawake kwa wanawake ndugu yangu sidhani kama watawezana, nakushauri aajiri dereva wa kiume, (au unaogopa jamaa atasimamia show?).
Sasa kama huyo Bi.mkubwa umri umeenda anatafutiwa dereva wa kumpeleka wapi,job au super market?