Mwandishi wa habari wa kituo cha Clouds Tv, Kijakazi Yunusu akipiga magoti kuomba kura kutoka kwa wajumbe ubunge viti maalumu, kupitia jumuiya ya wananwake CCM, katika ukumbi wa Kaagwa Mjini Lindi.

AMEKOSAMsimamizi wa uchaguzi ambaye ni mkuu wa mkoa wa Lindi Mantumu Mahiza alitangaza walioshinda nafasi, Hamida Abdallah, aliyepata kura 281 na Tekla Uongere aliyejipatia kura 231, katika ukumbi wa Kaagwa mjini hapa.