Kazi kwa waliosoma Food production

Oghobe

New Member
Mar 8, 2016
1
0
Jamani ninahitaji watu waliosomea food production/ food science...hata kama ni diploma...nina mradi mdogo wa kuwafundisha wakulima kusindika vyakula hasa maziwa. Nimetoa tangazo gazetini sijui halikueleweka.? Very poor response. Please watume application to Country Director, Heifer project International P.O.Box33814 Dar au kwa email Leticia.Mpuya@heifer.org
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom