Kwa sasa tumehitaji hivyo kwa sababu ndio tunaanza , ila bado haina shida ukituma hayo maombi.Wenye degree vipi?
sijasoma journalism,nmesoma shahada ya kiswahili,ambapo nmesomea kozi ya uhariri na uandishi(advanced writing&,editing) wa matini,pia kozi ya fasihi ya watoto(children literature),,,,, vp hapo nnaweza kutuma apps,au kwa waliosoma journalism tuuu????
Mwenzangu wacha wao ndo watu judge ww na journalism yako mm na kiswahil changu,,,,,kama kwel wanaandaa jarida la watoto naiman hawawez kuacha wenye taaluma ya children literature,nina iman na prof mlokoz,nna iman na taaluma yangu,utunz wa riwaya,tamthiliya,ushair,uandish wa makala,majarida n.k,,,,hapa ndo kwake,watuite tu kwenye usail tukatunishiane misul huko.
PSYCHOLINGUISTI naona umepanic,as msomi hutakiw kupanic kwa maneno ya jazba,jfunze kujenga hoja,mungu asaidie tukutane kwenye usail,umenhamasisha kutuma apps
Kuna kampuni inataraji kusajili jarida hivi karibuni litalohusiana na watoto.
Kuna nafasi 4 zinatakiwa kujazwa kwa mtu mwenye Certificate ama Diploma ya Journalism / Mass Communication kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Mwenye kuhitaji kazi hii atume CV na nakala ya Cheti chake kwa mail hii rmassawe12@gmail.com
Tarehe 10 August,2015,karibu.mwisho lini mkuu