love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
Wewe me au ke?
Kama me nakushauri usikate tamaa mapema, kwanza jaribu kufanya hata biashara ndogondogo(uchuuzi) huku ukiwa unajiandaa kupata kazi unayotaka
Jitahidi sana usiwe mtu wa kukata tamaa, pigana hadi dakika ya mwisho
Mambo yataeleweka jiamini
Jaribu kwa watu wa karibu na wewe kukuunganisha na kazi, sijui wewe una ujuzi/ulisomea ninimi ni ke jaman.
I wish I could help you
Pole. Una taaluma gani????
Maana Mungu akijali hivi karibuni natarajia kufungua NGOinayohusiana na VIJANA NA wanawake (Bright-Light Youth & Women Development Organization- BLY&WDO) Hivyo una taaluma gani???
Saloon utaweza? Unajua kusuka?

Unaishi wapi?, utaweza kufanya kazi ya marketing?
Saloon utaweza? Unajua kusuka?
najua jaman,mbona kimya?