imekaa poa, vijana wameanza kujitambua, wanayo nafasi ya kuboresha zaidi maisha yao wakiwa ndani ya ccm kwa kufanya kazi na magufuli
Hao ni kama tone kwenye bahari! Wala wasikukoseshe usingizi hao!! Mabadiliko yanakuja na wanaoyataka hawana hesabu
Mabadiliko lazima, hatutaki Fisadi.Ulaghai wa kisiasa huo.Hkuna kurudi nyuma hakuna lisilojulikana nyuma ya hako kamaandamano.Mungu hawezi kuacha watu wake wazidi kuteseka kwa miaka mingine.MABADILIKO LAZIMA .
Lowassa atuambie kuhusu hii picha. Hebu tueleze Lowassa huyu jamaa ni nani?
Lowassa atuambie kuhusu hii picha. Hebu tueleze Lowassa huyu jamaa ni nani?
Swali kuuliza wananchi rais wenu nani kwenye kampeni za ccm lapigwa marufuku! Kisa watu kujibu lowasaaa....
Lowassa atuambie kuhusu hii picha. Hebu tueleze Lowassa huyu jamaa ni nani?