RachelNgowi96
Member
- Jul 16, 2019
- 7
- 3
Habari Wana jamiii Nina ndugu yangu anatafuta kazi ana ujuzi wa umeme pia yupo kufanya kazi yoyote halali yupo dar..pia ana uzoefu wa kuuza duka. Nitashukuru Sana Mawasiliano 0674 968388... NB:nashindwa kujibu comments coz account yangu haijawa approved me ni new member.