tripleking05
Member
- Jan 11, 2014
- 10
- 1
Naombeni msada ndugu natafuta kazii hata customer care nilipeleka cv zangu erolink ila wapi so plz atyakaweza nisaidia nitashukuru
Naombeni msada ndugu natafuta kazii hata customer care nilipeleka cv zangu erolink ila wapi so plz atyakaweza nisaidia nitashukuru
Jaribu CCR Tigo tuma cv to hr.tz@isonbpo.com. Kila mwezi wanaajiri.
Naomba jieleze vizuri ili tukuelewe sema unaelimu gani, uzoefu gani, ulisomea nini, uko wapi, jinsia kani na kadhalika
Kuwa na subira wakati huu ni mgumu kwako na unaonyesha umekata tamaa, kila mtu huanza hivyo
jinsi ulivyo post thread ulionesha una weledi fulani thts why ukasema "HATA CUSTOMER CARE TU"...hiyo nayo KAZI mkubwaandugu nikituma cv kwenye site yao sizanikama watachagua kama una connection plz help
elimu 4m sikumalizaa mbaka six
WANAOGOPA jibu la division 5 wakiKUULIZA ULIPATA DIV ngapelimu 4m sikumalizaa mbaka six
Kauli kama hizi ndio huwafanya watu wasifanikiwe na kazi zao kwa kuwa anaishi kwa kutamani kazi nyingine ambazo kwa kipindi hicho hiyo kazi haipo. Unakuta mtu anapiga kibarua ukikutana unasikia anatoa kauli ''tupo tunajaribujaribu au tunazugazuga huku anaona noma'', badala ya kusema yupo anapiga kazi hasa ukizingatia safari ya mafanikio sio lelemama lazima uanze sehemu flani mwisho wa siku utafika kule unakokusudiaUnatafta kazi (hata customer care)....usiseme hata kana kwamba ni inferior job position, weng 2naililia hiyo customer care...xo be specific na ukipende unachokitafta.
Mkuu unapotafuta kazi usiamini sana kwenye connection wewe tuma kwani inagharimu nini kutuma tena online (kuna kipindi kingine unaweza ukashawishi watu watu hata kama kuna undugunization), ingekuwa enzi zile mtu kila application lazima ununue stamp si ungekata tamaa, watu tulikuwa tunatumia mpaka 10,000 kutuma application ukiwa na bahati unapata barua yenye heading inaanzia 'we regret tha............' Kazi zipo tu kama utakuwa na nia ya kutafuta unayo na usiwe selective sana kwani wakati mwingine watu wanakataa kazi flani kumbe ile kazi ingekuwa ni daraja ya kupata kazi nyingine nzuri zaidi hasa ukizingatia unakuwa na wigo mpana wa kuwa na marafiki na wapambanaji katika kutafuta ajirandugu nikituma cv kwenye site yao sizanikama watachagua kama una connection plz help
elimu 4m sikumalizaa mbaka six