Mkuu anaeweza kujieleza kwa lugha gani?Kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara pamoja nami inayohusu elimu awe na laptop namkaribisha tufanye pamoja .Biashara iko vizuri kwa kiasi chake kama unabidii na kujituma unaweza pata si chini ya laki moja na nusu ndani ya wiki .
Kigezo kikubwa ni uwe na laptop au tablet , uwe na uwezo mzuri wa kujieleza uwe mkazi wa Dar es salaam . Nahitaji watu sita kufanya nao kazi , namba yangu ni 0714890018. Maelezo zaidi ni pm au nitafute kwenye hiyo namba
Mkuu anaeweza kujieleza kwa lugha gani?
Hahahaha,hii post kali kweli.
Maana imekuja kwa style nyingine kabisa ya kijanja aisee,watu wanambinu sana,maana anaona watu posts zile wameishazistukia.
Tulieni angalieni post kwa umakini.Na mlioingia chamber(PM)mje mtujuze
Forever
Forever
mbona hupokei hiyo cmu yakoNdugu ebu futa kwanza mawazo kudhani kila kitu ni Forever.Hii kitu ni kitu ingine kabisa,we cha msingi kama unania au unataka kudhibitisha kuwa siyo Forever hebu mtafute huyo mdau then utaelewa.....acha kukurupuka na kukatisha tamaa wengine.
Nawasilisha!