Kavukavu soksi pembeni

Manina.


[emoji23][emoji23]
 
Kakubali kwenda kupima but anataka nmwambie ni nani aliyeniambia km yy kaungua, mambo y kusutana sas hay
Kwani si kawaida tu, na mtu hutakiwi kumwambia hivyo makavu makavu nikama kumnyanyapaa, unamwambia tu tukacheki afya zetu kisha maisha yaendelee
 
Unaogopa UKIMWI au kifo. Mara ya mwisho kutmia kondomu ni 1997 na kila.nikipima niko poa tu negative. Endeleenii kujitesa. Ukimwi una wenyewe kama kule ROLI la mafuta.
 
NA UMALAYA WANGU WOOTE LAKINI SIWEZI UZA MECHI,

HIVI UNATOMBAJE KAVU HII CENTURY YA 21,,
Demu unamkuta ana tako hapa na burundi,
Ana rangi saaaafi mweupeee peeee,
Ameenda hewani *****,

Mzee baba eti huyu atakuwa hana ngoma nani kasema...
“Unapima homa kwa kiganja cha mkono”

MABAHARIA..
“Tufanye umalaya lakini tutumie kinga”
 
Ishanikuta hiyo ila baada ya kupima nikakuta niko safi.
 
Pale Midland moro sitasahau ilikuwa mwaka 2015 nilichukua mwanamke downtown shombe hivi wakiarabu sasa asubuhi natoka naelekea stendi tax driver si akamuona akanimbia braza huyu mwanamke ataua wengi hapa morogoro ilibidi nijikaze kiume tu asijue kuwa nilikua nae.lakini nashukuru afya yangu njema mpaka leo sitaki kuzoazoa mtu unamuona mzuri nje kumbe ndani kaungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…