Kavukavu soksi pembeni

Amani ya moyo utaipata tu pale utakapotoka hospitali ukiwa na majibu yako. Yawe mazuri au mabaya, cha msingi ni kujua kuishi na majibu yako. Ukiliweza hilo utakuwa umerudisha amani ya moyo.
Yataka moyo
 
Tena ukute ulikua unapiga ndo anaingia bleed ukitoa kichwa kimejaa damu nyekunduuu. Hapo hata upishi wa kwamba labda damu yake na yako hazikugusana hakuna. Huitaji kipimo hata.
 
Pole kwa yaliokukuta tuliza pressure hayo ndiyo marupurupu ya uzinzi ukute hapo unamke nyumbani
 
Umeambiwa badala ungemwambia twende tukapime si ajabu hao aliwakataa wanyoosha vidole wao ndiyo huanza kufa
 
Usiogope kijana! Kufa kupo tu. Unaweza usife kwa ngoma ukaja kufa kama wale ndugu zetu wa Moro.
 
Hapo lazma uende kanisan hat kam huendag
Tena ukute ulikua unapiga ndo anaingia bleed ukitoa kichwa kimejaa damu nyekunduuu. Hapo hata upishi wa kwamba labda damu yake na yako hazikugusana hakuna. Huitaji kipimo hata.
 
Umeambiwa badala ungemwambia twende tukapime si ajabu hao aliwakataa wanyoosha vidole wao ndiyo huanza kufa
Kakubali kwenda kupima but anataka nmwambie ni nani aliyeniambia km yy kaungua, mambo y kusutana sas hay
 
Ninao,ninao,ninaooo!!kilichobaki nikujikubali.Isitoshe virusi havitaweza kamwe kuharibu rekodi nzuri niliyoiweka, badala yake vitaiimarisha nikimchukua mrembo jumla.
 
Sheria ya kwanza ya mabaharia:

Hakuna kuongelea health status za mademu wanaowafahamu.

Ikiwa mnaongea hayo masuala badilisha marafiki.

Mnaanzaje anzaje maongezi mpaka kufikia kuongelea kama mtu ameathirika au la?
 
Ndio kusema lilikua tank la lotion hukujua tu, Mkuu!?
 
Huna cha kufanya... unakubali matokeo...

Kuna mambo ni ya hatari sana...

Cc: mahondaw
 
mkuu unamaana kinachotumaliza ni hofu si ugonjwa!!?
Stress ni hatari sana zaidi ya UKIMWI.

Watu wanishi miaka kibao wakiwa na UKIMWI.

Ukizingatia yote yanayohitajika ukiwa na UKIMWI wala hutapata shida.
 
Hhaha inaumaga hiyo. Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…