George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,302
ni kuanza kuishi tu kwa matumaini, hakuna amani ya moyo itakayopatikana ukiwa na virusi vya UKIMWI mkuu...usijidanganye...Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan na kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
Aisifiaye Mb...o imemt..... Omba yasikukuteni kuanza kuishi tu kwa matumaini, hakuna amani ya moyo itakayopatikana ukiwa na virusi vya UKIMWI mkuu...usijidanganye...
vipi...yamekukuta nini
DUUUHAisifiaye Mb...o imemt..... Omba yasikukute
UKIMWI = Upungufu wa Kinga Mwilini.Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan na kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
Naona Kama unanisemaWengine washakuwa sugu. Hawatumii na hawatakuja kutumia.
Ila wee endelea tu kutumia. Mana siko utayosema ujaribu tu kavu ndio hapo hapo imoo.
[emoji15] yamekukuta nn..Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan na kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
Yale madude sio wala nini. Mzuka ukishapanda uniambie nivae naona kero tuNaona Kama unanisema
Amani ya moyo utaipata tu pale utakapotoka hospitali ukiwa na majibu yako. Yawe mazuri au mabaya, cha msingi ni kujua kuishi na majibu yako. Ukiliweza hilo utakuwa umerudisha amani ya moyo.Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan na kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
Kuna demu roho inaniuma mpaka kesho. Alikuwa anakimbiza mtaa mzima kwa uzuri. Alinishobokea mpka akawa ananiambia direct. Mzee sikupiga kwa kuwa mtaani alikuwa na kashfa ameungua. Na nikamchana live kwamba wewe NI tank la mafuta lenye betri inayotoa cheche unalipuka mda wowote, akalia kinoma.
Mazee nimekutana naye mwaka juzi after 11 yrs yupo na two health twins na hub wake. Then akaning'oneza wangekuwa wakwako Hawa. Dah kidogo nilie. Alafu ndo amezidi kunona daddeki
Daaaa hii kavu niliwahi jilipua huko Bukene-Tabora aiseee Yani simjui hanijui lakini tulikula KAVUUUU,Haki ya Nani sitakuja rudia ule mchezo
Wengine washakuwa sugu. Hawatumii na hawatakuja kutumia.
Ila wee endelea tu kutumia. Mana siko utayosema ujaribu tu kavu ndio hapo hapo imoo.
Naona Kama unanisema
Ckia tu omba yasikukute brohni kuanza kuishi tu kwa matumaini, hakuna amani ya moyo itakayopatikana ukiwa na virusi vya UKIMWI mkuu...usijidanganye...
vipi...yamekukuta nini
UKIMWI = Upungufu wa Kinga Mwilini.
Ukisikia yeye kaungua, ndio unapungukiwa kinga mwilini hapo hapo?