MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Kufuata hotuba ya Rais Magufuli alipofanya ziara mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara kuhusu madeni ya Tanesco imetusaidia sana.
Nimeona Zanzibar wameanza kupunguza deni lao na sasa JWTZ limepunguza deni lake la billion 3 kwa kulipa bilioni 1 taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi General Mabeyo.
Nadhani kauli za Rais Magufuli zinatusaidia kulikoa hili Taifa na baadhi ya mambo ambayo tulikuwa tunaishi nayo kwa mazoea.