magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 7,438
- 13,179
Mikia huwa mnajiamini sana halafu mambo yakienda tofauti mnaanza kufanya uharibifu uwanjani...Mechi ya kwanza alisema Yanga walikuwa wageni,walienda kutafuta point moja tu,kesho Yanga ni wenyeji tuone wakitafuta ushindi....Simba 5,Yanga o.