Kauli za Kamanda: Nzi aliyekosa hekima huifuata maiti mpaka kaburini

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Niliahidi kwamba nitatoa ufafanuzi juu ya msimamo wangu kwa sasa hususani kwa nini ninamuunga mkono Rais John Pombe Magufuli. Kwanza ninaona nvyema nianze na mfano mmoja unaomhusu mwarabu mhalifu. Mwarabu mmoja aliyekuwa akifanya uhalifu alipelekwa mbele ya mfalme Mfalme akamwambia “Chagua moja kati ya mambo matatu yafuatayo: Kumuua mkeo, kuwapa sumu watoto wako au kunywa pombe.”

“Nachagua kunywa pombe,” alijibu mwarabu yule, akidhani ni jambo chepesi lenye madhara madogo kuliko yale mengine. Lakini alipokunywa pombe, alilewa na akamuua mkewe na kuwapa sumu watoto wake.

Watanzania wengi mtakumbuka nchi yetu ilivyokuwa imeyumba kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita. Ufisadi ulikithiri, ubadhilifu wa fedha kwenye halmashauri zetu ulikuwa mkubwa sana, rasilimali za nchi yetu kziliwanufaisha watu wachahche na kumomonyoka kwa maadili na rushwa kuliongezeka sana.. Lakini pia kulikuwepo na ombwe la uongozi.

Kutokana na hali hiyo walijitokeza watanzania ambao walipiga kelele kupinga ufisadi, ubadhilifu kwenye halmashauri zetu na walikemea rushwa. Watanzania hao walijitokeza ndani ya CCM na pia nje ya CCM kwenye vyama vya upinzani hasa Chadema. Suala la kupinga ufisadi likawa ajenda kuu ya chadema. Viongozi wa Chadema walizunguka nchi nzima wakipinga ufisadi na rushwa. Lakini ndani ya CCM pia kulikuwepo wazalendo ambao walipinga ufisadi na rushwa. Na ndani ya Chadema walikuwepo ambao hawakupinga kwa dhati ufisadi na rushwa.

Uchaguzi mkuu wa 2015 ulipokuwa unakaribia kulikuwa na dalili ya Chadema kukubalika na jamii kutokana na kupinga ufisadi na rushwa. Watanzania wengi walitamani kufanya mabadiliko, ni dhahiri ilikuwa ni nafasi nzuri ya Chadema kushinda uchaguzi mkuu 2015. Njia ya kuingia Ikulu kwa Chadema ilionekana wazi.

Siku zilipozidi kukaribia viongozi wa Chadema walipata tamaa kubwa ya kuingia Ikulu hata kwa njia isiyo sahihi. Viongozi wa Chadema walioona ripoti ya utafiti iliyosema wakimsimamisha Lowassa kama mgombea wa Chadema watashinda kwa kishindo na kuingia Ikulu. Viongozi wa Chadema wakafanya maamuzi bila kuzingatia demokrasia, wakamtoa Slaa asigombeem urais wakamchukua Lowassa. Mkumbukeni mwarabu mharifu. Hakutaka kumwua mkewe wala kuwanywesha sumu wanae, lakini alimuua mkewe na kuwapa sumu wanae baada ya kulewa pombe. Chadema ilipomchukua Lowassa ilipoteza ajenda mhimu ya ufisadi na rushwa na wakaikosa Ikulu. Walipomchukua Lowassa wasingeweza kukemea ufisadi na rushwa, Watanzania wakaihukumu Chadema. Watanzania wakumbuke Chadema walizunguka nchi nzima kupinga ufisadi na walieleza bayan kwamba walikuwa na ushahidi. leo wanachadema hao haao wana wahurumia wale wanaochukuliwa hatua kutokana na ubadhilifu wa mali ya umma. Wanamkebehi JPM kwa hatua anazochukua na kuposha umma wa watanzania. Inasikitisha. Na siwezi kukaa kimya.

Tukumbuke ndani ya CCM walikuwepo wazalendo waliopinga ufisadi na rushwa kwa dhati. CCM waliungana wakati wa uchaguzi mkuu wakamtoa Lowassa aliyetuhumiwa kwa miaka mingi kuwa ni fisadi. Watanzanaia wakaamua kumpa kura John Pombe Magufuri akashinda na kwa sasa ndiye Rais.
Rais John Pombe Magufuri ameonyesha kwa vitendo kwamba anayo dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi, rushwa na ubadhilifu. Ombwe la uongozi linatoweka kwa kasi. Matumaini yameanza kuonekana. Lakini Chadema wana mbeza Rais JPM. Hapana. Sioni sababu ya kutomuunga mkono JPM eti kwa sababu ni CCM wakati anatekeleza yale ambayo watanzania wengi waliyapigia kelele. Ninawasihi watanzania wamuunge mkono JPM na kupuuza propaganda za Chadema eti wanataka kuzunguka nchi nzima kudai demokrasia. Upinzani unaopotosha una tofauti ndogo sana na uhaini.

Mabadiliko hayaji siku moja tu. Na mabadliko yana maumivu. Wazungu wanasema, “where there is no pain there is no gain. No pain no gain”. Yapo maumivu kwa hatua inazochukua serkali ya awamu ya 5. Lakini baada ya maumivu ya muda kutakuwepo tija. Lakini Chadema inapotosha kila kitu.

Je ndani ya Chadema kuna Demokrasia iliyokomaa ? CCM walikuwa na wagombea 42 kwenye uchaguzi mkuu 2015 wakati Chademawalikuwa na mgombea mmoja aliyepatikana kwa matakwa ya watu wawili au watatu tu. Aidha, kwenye uchaguzi mkuu wa Chadema 2014 mwanachama aliyetaka kugombea uenyekiti alitishwa. Kwenye nafasi ya makamu mwenyekiti walioomba nafasi waliambiwa wajitoe kwa sababu anatakiwa mwislamu kwa maslahi mapana ya Chama. Mimi niliuliza kwa nini asingejitoa Freeman Mbowe amwachie mwislamu halafu kwenye nafasi ya makamu wamtoe mwislamu na kumbakiza mkristo ? Maoni hayo yalisababisha chuki. Kwa kifupi demokrasia haijakomaa ndani ya Chadema, na ndiyo maana nasema badala ya kusema kwamba Chadema waandamane nchi nzima kudai demokrasia ni kujaribu kutafuta hoja nyingine baada ya kupoteza hoja ya ufisadi na rushwa. Chadema waimarishe demokrasia kwanza ndani ya Chadema yenyewe.

Hivi serikali ikisema kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa maaandamano na mikutano isimame ni vibaya kwa sababu tu ni serikali ya CCM imesema lakini viongozi wa Chadema waliposema awepo mgombea mmoja tu kwenye uchaguzi mkuu 2015 ndani ya Chadema kwa maslahi mapana ya chama cha chadema ni sahihi au ni sawa kwa sababu Chadema wamesema. Hapana. Maamuzi ya serkali nayo yaheshimiwe na majadiliano yawepo kwa mazingira ya kuheshimiana.

Kuna hoja ambayo wanaChadema wanaisema kwamba mimi nilibebwa baada ya kushindwa kwenye kura za maoni mwaka 2015 na 2010. Ni kweli mwaka 2015 mimi sikuenda kwenye uchaguzi wa kura za maoni. Nilikataa kushiriki baada ya kushuhudia rushwa iliyokuwa imekifthiri kuliko hata ndani ya CCM. Nilipeleka malalamiko yangu kwenye kamati kuu na ushahidi. Kamati Kuu ikaniteua. Mwaka 2010, niligombea Segerea. Kulikuwa na ruhwa na mbinu chafu, Kamati Kuu ilitengua matokeo ikaniteua. Rushwa ipo ndani ya Chadema, na inakomaa. Rushwa nai mbaya iwe nadani ya CCM au Chadema, tuipige vita. Kwa kifupi kuna rushwa na uozo mwingi ndani ya Chadema kama ilivyo kwenye vyama vingine. Lakini Chadema wanataka waonekane ni malaika. Sivyo. Pia inabidi Chadema wakubali kukosolewa kama wanavyokosoa vyama vigine. Wanadai kwa nini ninawakosoa wazi wazi. Mbona Chadema wanamkashifu Rais JPM ambaye ni Rais wa Watanzania wote. Wameshindwa kutumia lugha ya heshima ?

Kuna msemo wa kisambaa unaosema, “ Ukitaka kuepuka nzi tupa kibudu”. Chadema kama inataka isiwe na harufu ya ufisadi, rushwa itupe mzoga. Chama chochote chenye mzoga kitakuwa na harufu ambayo itavutia inzi. Na wazingatie kwamba watanzania siyo wajinga, na pia waelewe nzi aliyekosa hekima huifuata maiti mpaka kaburini.

Aidha, Chadema inatakiwa itambue kwamba wapo watanzania mabao ni wazalendo lakini si wanachama wa chama chiochote cha siasa na wapo watanzania ambao ni wazalendo ambao wako CCM, UDP au vyama vingine vya siasa. Chadema wasijiioe ni wazalendo kuliko watanzania wengine wote.

JPM apewe nafasi ya kuleta mabadiliko na watanzania tuwe na subira na tumuunge mkono.
 
Siasa matope wewe, unachotetea ni nini hasa, unachokipinga nini? heri kukutana na mjinga kuliko mwehu...

Wakati mikutano ya UPINZANI ikiwa haramu ya CCM halali huoni kuna shida hapo??AU hiyo HAPA KAZI TU ni kwa upinzani kwa CCM hakuna??

Kama ni haki ya kukosa basi wote wakose.Kama ni mikutano basi yote ifungiwe,kama ni sherehe basi zote zifungiwe.

Ila kimoja kikubwa sheria ya nchi inaruhusu mihadhara na mikutano hiyo,angalieni msivunje katiba ya nchi makatuletea misukosuko.Humo ndani ya CCM funganeni midomo wananchi tuachieni haki ya kukosoa.
 
Hayo unajibu kipengele gani kamanda wangu au ndo ujumbe kutupwa hewani?

Hiki hapa kaka " Hivi serikali ikisema kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa maaandamano na mikutano isimame ni vibaya kwa sababu tu ni serikali ya CCM imesema lakini viongozi wa Chadema waliposema awepo mgombea mmoja tu kwenye uchaguzi mkuu 2015 ndani ya Chadema kwa maslahi mapana ya chama cha chadema ni sahihi au ni sawa kwa sababu Chadema wamesema. Hapana. Maamuzi ya serkali nayo yaheshimiwe na majadiliano yawepo kwa mazingira ya kuheshimiana."

Au hiki umekisahau,unapoongela issue za serikali kukataza mikusanyika ya wapinzani na hapohapo wanaikubali mikusanyiko ya CCM.Je hivi CCM uchaguzi ulienda vyema au kuna wachache walikuwa na majina yao mifukoni mwao???
 
kwa taarifa yako hakuna mwana ccm yoyote aliyewai kupinga ufisadi, wapinga ufisadi ni wabunge wa Upinzani tu,kama kuna mbunge wa ccm aliyewai kupinga ufisadi bungeni tutajie jina lake na ndio maana hawataki bunge live ili tusiwaone wanavyotetea Ufisadi
 
Wakati mikutano ya UPINZANI ikiwa haramu ya CCM halali huoni kuna shida hapo??AU hiyo HAPA KAZI TU ni kwa upinzani kwa CCM hakuna??

Kama ni haki ya kukosa basi wote wakose.Kama ni mikutano basi yote ifungiwe,kama ni sherehe basi zote zifungiwe.

Ila kimoja kikubwa sheria ya nchi inaruhusu mihadhara na mikutano hiyo,angalieni msivunje katiba ya nchi makatuletea misukosuko.Humo ndani ya CCM funganeni midomo wananchi tuachieni haki ya kukosoa.
Jamani, kwanza huyu anayeongea maneno hayo mbona hajajitambulisha kwa jina lake halisi? Ni nani huyu?
 
Hivi serikali ikisema kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa maaandamano na mikutano isimame ni vibaya kwa sababu tu ni serikali ya CCM imesema lakini viongozi wa Chadema waliposema awepo mgombea mmoja tu kwenye uchaguzi mkuu 2015 ndani ya Chadema kwa maslahi mapana ya chama cha chadema ni sahihi au ni sawa kwa sababu Chadema wamesema. Hapana. Maamuzi ya serkali nayo yaheshimiwe na majadiliano yawepo kwa mazingira ya kuheshimiana.

.
Kuzuia mikutano na maandamano katika hali ya sasa kunaweza vipi kuwa na maslahi mapana ya taifa? hebu tueleze hayo maslahi ambayo yanatishiwa na mikutano ya vyama VYA UPINZANI TU!

na majadiliano yatakuwepo vipi wakati kuna watu hawaruhusiwi kabisa kuongea?

Wewe kama kweli ni mwanaChadema kama unavyodai, basi ni mwanachadema mfu. na kama ni mtanzania unayejidai ni mzalendo, basi we ni mwoga tu. Umeona JPM amekuwa mkali umepata 'cold feet', unaamua kuongea maneno ambayo yatamfanya akutizame na akufikirie. Si ajabu umemwandikia ukimwambia huna pa kushika kama yule mkuu wa mkoa. Rudi tu, naamini watakupokea tena.
 
kwa taarifa yako hakuna mwana ccm yoyote aliyewai kupinga ufisadi, wapinga ufisadi ni wabunge wa Upinzani tu,kama kuna mbunge wa ccm aliyewai kupinga ufisadi bungeni tutajie jina lake na ndio maana hawataki bunge live ili tusiwaone wanavyotetea Ufisadi
Nayasubiria hayo majina ya wabunge waliotukuka wa CCM wanaopinga ufisadi. Huyu prezidaa mwenyewe alipokuwa mbunge nina hakika hakuwahi kutamka neno fisadi/ufisadi.
 
mada ndefu, na mie nina tatizo la kutokupenda kusoma sana! du! pole yangu mieee
 
Soma mpaka mwisho? We ukiona jina la Lowassa unaona wanasema ufisadi. Utaelewa tu kamanda.
maandishi yako marefu, ila unarudia ambayo yameandikwa siku chache baada ya uchaguzi na wengi, mimi sio mshabiki wake ila anasingiziwa sana, na ili uwe maarufu andika habari za lowassa, imefika wakati watz wenzangu tuweke mada za maendeleo kuliko kurudia kuandika yaliyopita october 2015
 
Back
Top Bottom