Jamani mimi sijaelewa hapa mwandishi wa taarifa hii anaelewaje kauli ya Membe imeanza kumtesa. Acheni ushabiki wa. Kijinga nani ambaye hajui kwamba gazeti hili la Mtanzania ni la Rostam Aziz na nani hajui ukaribu wa Rostamu Aziz na EL. Ni vema tukajadili hoja kuliko opinion zingine zenye ushabiki wa kisiasa. Ikumbukwe kuwa wakati Membe alipozikomalia pesa za Radar kurejeshwa Tanzania toka uingereza, gazeti hili la Mtanzania liliandika taarifa kwamba Membe anawaandama wapinzani wake bila kungalia hoja na maslahi ya nchi. Gazeti hili limegua Wabunge Watatu kuwakilisha
Soft Centered Membe hana ubavu kabisa wa kutaja mtu yeyote dunia hii. Dhaifu sana huyu bwana, seeking a cheap popularity
Membe ananiacha hoi anaposema ataoteshwa kugombea uraisi! Lol. Hivi wanaJF uraisi unapatikana kwa kuoteshwa?
Alafu mbona asemi ipo siku ataoteshwa kujiuzuru uongozi au kustahafu ili kupisha wengine wenye mawazo mapya?
Kama wagombea wa nafasi ya uraisi kwa kupitia ccm ndo wanamawazo mgando kama ya huyu Membe, Dr Slaa piga jalamba baba.
Hili gazeti la mtanzania hivi huwa linam serve. Nani hasa? Sote tunajua kwamba ni yuleyule fisadi anayeifilisi nchi hii na bado ana tamaa ya kula zaidi EL! Gazeti hili lina sifa moja kuu nayo ni UONGO! Na pia kuvuruga watu imekuwa ndiyo mtaji wao wa biashara. Huwezni kutarajia kupata ukweli kwenye gazeti la namna hii na sidhani kama kuna watu wananunua gazeti hili ambalo limepoteza mvuto kwa jamii. mwoneeni huruma EL.......afya yenyewe mgogoro, bora mumshauri apumzikeSoft Centered Membe hana ubavu kabisa wa kutaja mtu yeyote dunia hii. Dhaifu sana huyu bwana, seeking a cheap popularity
Jamani Wandugu, Ben K. Membe hata akipewa jahazi aliongoze, i.e nchi hii HAIWEZI, bora hata ya JK mara mia moja. Chukua mzani, Mweke DR Slaa Wilbroad Na Membe, ita watanzania waulize wanamtaka nani watakwambia.
Mie nachojuwa ukienda spain first 11 ya kandanda ya sasa inafahamika na wao wanajifamu fika yani kina cesc,inesta kadha wa kadha na uhakika hao wabaya 11 Mhe Membe wanajifahamu fika pia , hapa kinachofanywa na gazeti la MTANZANIA sio pre-emptive action bali ni premature ejaculation
Soft my foot!
Siku akiwataja nitakukumbusha.
Skills4Ever,
Simuoni BM anaweza kushindana na bingwa wa mikakati EL. Subiri mkutano wao mkuu wa uchaguzi baadaye mwaka huu ndiyo utajua EL ni nani CCM.