maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Baada ya Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha siku iliyofuata gazeti la mawio likaandika kuwa hazina hamna hela hata ya kuendesha nchi siku 20,baadae kamishna wa bajeti kakanusha kuwa ni uwongo maana gazeti likaonekana limesema uwongo.
Siku ya mwaka wa Mahakama Magufuli kasema nilipoingia madarakani kulikuwa hakuna hata hela ya kulipa mishahara.
Kweli serikali huwa haisemi ukweli mara nyingine maana kauli ya Magufuli na kamishna wa bajeti zilitofautiana wakati huo zikafanana na Mawio huku Nape kaliadhibu baadae.
Tutende haki daima