Kauli ya Lema

Kasemaeje kamanda wetu?wengine tunatumia mchina hatuwezi kusikiliza you tube.
 

Star Tv kwa sasa Diallo keshaonywa na magamba hawezi ruhusu propaganda hasa za cdm, cha msindi ni kumiliki yetu maana hata tbc magamba wameiwahi bila kujali kuwa ni kodi za wa_TZ wote.
 
Ukisikiliza kwa makini maneno haya kweli utatokwa na machozi na mtu wa mwenye hekima atakayaunga mkono yatia majonzi na hasa ukikumbuka maisha ya ndg zetu kijijini ccm Mungu atawaadhibu siku si nyingi
 
Inasisimua, inatia moyo, ni ya ki-ukombozi. Samabazeni kwa wingi CD hiyo...
 
Hongera sana sana Mhe Lema kwa uvumilivu,utulivu wako na subira. Hii imetoa changamoto kwa viongozi wengine kuiga mfano wako, hongera sana, sasa endelea na kazi, nakutakia kila la kheri Mhe
 
Reactions: Ame
Huyu jamaa ni noma. Nafikiri ni kwa sababu watu wengi tunamuombea, hata wasiompenda hufanya hivyo kwani kwa kulitaja jina lake tu tayari unamuombea kwa Mungu GODBLESS LEMA (Mungu mbariki Lema). Ameni.
 
peopleeeeeeeeeeeeeeeeez........hakunaaaaaaaaaaa........mpakaaaaaaaa.......masalia wote.............
 
imenikumbusha nilivoshuhudia mtu akianguka mbele yangu akiwa amepigwa risasi! it pains a lot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…