Mimi si mwana chama wa chama chochote officially,though ni miongoni mwa maelfu ya watz wanao amini ktk CHADEMA na mageuzi!
Ushauri wangu kwa CCM ni kama ifuatavyo:
1/Jitahidini kutumia hata sehemu ndogo ya masaburi iliyo baki kufikiri,maana mliacha zamani kutumia Bongo zenu kiasi cha kuzoea kufikiria masaburi na muda unavyo kwenda inaonesha masaburi pia yamechoka!!!
Najua pro ccm weng mtanitukana lakini naandika haya kuweka kumbukumbu kwa vijazi vijavyo!
Hali ya nchi ni mbaya!
Nakumbuka:
-Mlijaribu kutumia dola kulinda CCM enz za Mkapa mkakwama!
-Mmepambana kufa na kupona kwenye sanduku la kura,imeshindikana!
-Mmejaribu kuiba kura imeshindikana, NA HUU UKAWA UKOMO WA MASABURI KUFIKIRI!
-Kwa sasa mmeamua kutumia mahakama aidha kupora ubunge wa cdm,au kuwachelewesha wabunge wake kwa kuwa "shinda" na kuwashauri wakate rufaa ili kesi iendelee!
SINA HAKIKA Mmetumia kiungo gani baada ya UBONGO na MASABURI kufeli!
Kila kiungo kinacho nijia,sipati tafsida yake na hata nikiandika kwa mafumbo hapa na ikawa reported niko likely kula ban!
Anyway,kiungo kilichopo directly na masaburi msithubutu kufikiria maana vitu najisi hupitia hapo hasa watu wanapo "kula tunda" AKA "Kujinafasi"!
Lakini kumbukeni,hapo viburudisho "hupigwa chini" halafu "wanavimba juu miezi kumi kasoro moja"
Nimetumia Lugha kali,Lakini CCM mnaipeleka nch machinjioni!
Leo Arusha wanasema "hata jiwe tunachagua kuliko CCM",Sijui Mbeya watasemaje Sugu akiporwa ubunge,Dar,SINGIDA NK!
Scrn imelowa machozi,ngoja nilale tu!