M mkonomtupu JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 441 Reaction score 119 Jun 19, 2012 #1 Mnachagua Rais kwa kuwa ana sura nzuri kwani mmembiwa tunachagua Rais wa Mamiss. Haya si maneno yangu bali ni ya Baba wa Taifa akimpinga..................... Naomba mwenye kukumbuka anikumbushe na mimi
Mnachagua Rais kwa kuwa ana sura nzuri kwani mmembiwa tunachagua Rais wa Mamiss. Haya si maneno yangu bali ni ya Baba wa Taifa akimpinga..................... Naomba mwenye kukumbuka anikumbushe na mimi
B Bob G JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 2,351 Reaction score 450 Jun 19, 2012 #2 Kama ni Mzuri pelekeni posa
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Jun 19, 2012 #3 dah! Hii kali! Ngoja nim PM Machemli airushe kesho