Huwezi kuchukulia sample ndogo hiyo ikawakilisha Igunga yote, vipi mwamko wa huko vijijini ambako tunajua wamelala usingizi hali ikoje inawezeka bado wanajua RA ni mgombea.

Kiukweli CDM wanawakati mgumu atleast wangeshiriki uchaguzi uliopita tungejua pakuanzia, ccm na cuf watalinda kura zao na CDM wanaenda wakiwa hawana kura hata moja za ubunge hapo CDM Lazima wajipange kisawasawa, uchaguzi huu ni wakujipima kuelekea uchaguzi 2015.
Kama wanaIgunga wataamua kuiweka ccm MADARAKANI kweli kabisa nitaamini kuwa hii mipaka ya mikoa inamaanisha kitu kikubwa sana kifikra!
Yeah.. wana Igunga wana fikra chanya!Kama wanaIgunga wataamua kuiweka ccm MADARAKANI kweli kabisa nitaamini kuwa hii mipaka ya mikoa inamaanisha kitu kikubwa sana kifikra!

Yeah.. wana Igunga wana fikra chanya!

Wanaona matatizo ya maeneo yanayoongozwa na CDM

Lazima wataichagua CCM
Kama wanaIgunga wataamua kuiweka ccm MADARAKANI kweli kabisa nitaamini kuwa hii mipaka ya mikoa inamaanisha kitu kikubwa sana kifikra!
Hawa jamaa wana wanaona mbali sana, walipokuja kipindi cha operation Sangara walisema sie wanIgunga tumeigharimu nchi kwa kulichagua fisadi, Sasa si bora tuhamie CDM, Si Si Em yenyewe kila wizara rushwa tu"
maneno ya kujifariji si mazuri sana kwa kipindi hiki la msingi Jamaa wakaze buti tu
CDM uhakika wa kushinda upo, wasiwasi wangu ni hao Magamba kuleta mamluki. Ngoma bado nzito
hivi chadema walisimamisha mgombea igunga 2010?Samahani mkuu hiyo oparation ilikuwa kabla ya uchaguzi mkuu swali kwanini waliendelea kumchagua fisadi?huoni hao wananchi wa Igunga kama ni wanafiki unless umeungaunga story yako kwa mapenzi ya chama? Najitahidi kulink the dots za ujumbe wako lakini I smell something fishy broda.