Kauli toka Igunga: Huwezi safisha tope kwenye maji ya Kunywa kwa kumwaga Grisi-Utayachafua zaidi

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Nimefanya tour, toka Rocky city Nzega, nimekaa Igunga siku mbili, juzi nilishinda shelui na nikalala mpaka leo hii niko Singida.

Hali ya Si Si Em si nzuri, iko ICU- Igunga nimewaona watu vikundi kwa vikundi wanasema " Huwezi kusafisha tope ktk maji ya kunywa kwa kumwaga Grisi" Uchavu utaongezeka (contamination itazidi).

Kila ukipita vikona watu wanasema CDM kwanza," Hawa jamaa wana wanaona mbali sana, walipokuja kipindi cha operation Sangara walisema sie wanIgunga tumeigharimu nchi kwa kulichagua fisadi, Sasa si bora tuhamie CDM, Si Si Em yenyewe kila wizara rushwa tu"

Mwingine: Bora Dr Slaa angekuwa anahutubia Taifa japo mara moja kwa miezi mitatu anatupa hali halisi ya mwenenendo wa nchi yetu

Ni kweli askari ni wengi Igunga, hali si mbaya kiusalama ila kama ni tatizo labda liwe la kutengenezwa na hao wageni waliosombwa toka Tabora mjini.

hapo kazi kubwa ni kulinda kura tu kwani ccm tayari imeshashindwa tayari kwa kitendo chao cha kushindwa ku deliver yale waliyoaidi miaka nenda miaka rudi kwahiyo chadema kazi yenu ni moja nayo ni kuwakumbusha wananchi broken promises za ccm .

Huwezi kuchukulia sample ndogo hiyo ikawakilisha Igunga yote, vipi mwamko wa huko vijijini ambako tunajua wamelala usingizi hali ikoje inawezeka bado wanajua RA ni mgombea.

Kiukweli CDM wanawakati mgumu atleast wangeshiriki uchaguzi uliopita tungejua pakuanzia, ccm na cuf watalinda kura zao na CDM wanaenda wakiwa hawana kura hata moja za ubunge hapo CDM Lazima wajipange kisawasawa, uchaguzi huu ni wakujipima kuelekea uchaguzi 2015.

kampeni hazijaanza ccm na cuf wamepata wapi hizo kura, ikiwa umeegemea kwenye matokeo ya uchaguzi uliopita fikiri pia kuwa inawezekana kura walizopata ccm na cuf ni kwa sababu chadema hawakushiriki, sasa wanashiriki, na kuhesabu kura kanuni ya mahesabu ya kibenki (brought forward) haitumiki. fanyeni kampeni acheni propaganda za tambwe hiza.

kUMBUKENI MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO IGUNGA NDICHO KIPIMO CHA CHAGUZI ZINNGINE

Kama wanaIgunga wataamua kuiweka ccm MADARAKANI kweli kabisa nitaamini kuwa hii mipaka ya mikoa inamaanisha kitu kikubwa sana kifikra!
Yeah.. wana Igunga wana fikra chanya!
Wanaona matatizo ya maeneo yanayoongozwa na CDM
Lazima wataichagua CCM

Yeah.. wana Igunga wana fikra chanya!

Wanaona matatizo ya maeneo yanayoongozwa na CDM

Lazima wataichagua CCM

usiige maneno ya gadafi na watoto wake, tuambie mnapendwa na wanaigunga kwa mazuri yapi, naogopa kukuorodheshea mlolongo wa maovu/mabaya ya ccm.

CDM uhakika wa kushinda upo, wasiwasi wangu ni hao Magamba kuleta mamluki. Ngoma bado nzito

Kama wanaIgunga wataamua kuiweka ccm MADARAKANI kweli kabisa nitaamini kuwa hii mipaka ya mikoa inamaanisha kitu kikubwa sana kifikra!

Hahaaaaaa! mkuu umenikumbusha mbali. hebu tusubiri tuone kama itakuwa hivyo. ndiyo tutagundua kwanini mikoa mipya imeanzishwa haraka.

lakini taka wasitake sisiem, Igunga for chadema

Hawa jamaa wana wanaona mbali sana, walipokuja kipindi cha operation Sangara walisema sie wanIgunga tumeigharimu nchi kwa kulichagua fisadi, Sasa si bora tuhamie CDM, Si Si Em yenyewe kila wizara rushwa tu"

Samahani mkuu hiyo oparation ilikuwa kabla ya uchaguzi mkuu swali kwanini waliendelea kumchagua fisadi?huoni hao wananchi wa Igunga kama ni wanafiki unless umeungaunga story yako kwa mapenzi ya chama? Najitahidi kulink the dots za ujumbe wako lakini I smell something fishy broda.

CDM uhakika wa kushinda upo, wasiwasi wangu ni hao Magamba kuleta mamluki. Ngoma bado nzito

Mkuu ukishakuwa na uhakika halafu ukawa na wasiwasi hiyo inakuwa ni probability wataalam wa mahesabu wanaijua vizuri sana hii kitu ila kwa wasio kuwa wazuri kwenye mathematics ni kuwa mwanamke akiwa na mimba ya mtoto mmoja uwezekano wa kuzaliwa mtoto mke ni 50% na mume ni 50%
Kwa maana hiyo huwezi kuwa na uhakika atazaliwa yupi kati ya hao wawili unless umefanya ultrasound

Samahani mkuu hiyo oparation ilikuwa kabla ya uchaguzi mkuu swali kwanini waliendelea kumchagua fisadi?huoni hao wananchi wa Igunga kama ni wanafiki unless umeungaunga story yako kwa mapenzi ya chama? Najitahidi kulink the dots za ujumbe wako lakini I smell something fishy broda.
hivi chadema walisimamisha mgombea igunga 2010?

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom