Kauli toka Igunga: Huwezi safisha tope kwenye maji ya Kunywa kwa kumwaga Grisi-Utayachafua zaidi

Yeah.. wana Igunga wana fikra chanya!
Wanaona matatizo ya maeneo yanayoongozwa na CDM
Lazima wataichagua CCM

U can't be seriously munama ,kyooki walekuninga arawa?
Kunu kitaa wandu ludaaka muda tubu babaako oooohg......

Huwezi kuchukulia sample ndogo hiyo ikawakilisha Igunga yote, vipi mwamko wa huko vijijini ambako tunajua wamelala usingizi hali ikoje inawezeka bado wanajua RA ni mgombea.

Kiukweli CDM wanawakati mgumu atleast wangeshiriki uchaguzi uliopita tungejua pakuanzia, ccm na cuf watalinda kura zao na CDM wanaenda wakiwa hawana kura hata moja za ubunge hapo CDM Lazima wajipange kisawasawa, uchaguzi huu ni wakujipima kuelekea uchaguzi 2015.

Wewe hujui siasa. Siasa sio hisabati za moja ongeza moja ni mbili. Nema busanda uelezwa CUF iliyokuwa ya pili iko wapi? Uiza kwenye urais CUF iliyogombea/mara 4 iko wapi, na chadema mara mbili iko wapi?

Diwani igunga mjini from Chadema ubunge pia tutaupata magamba wawili watagawana kula zen teacher ataibuka kidedea

Jamani kueni macho na wanafiki, hayo sio mawazo ya wanaigunga hizi ni habari za kutengeneza, kama kweli mnapendwa mbona juzi mlishindwa kusimamisha mgombea, wangesema cuf sawa. Chadema kwa uongo nyie nimwisho, anawaonea haruma uongo wa aina hii haukubaliki.

GreatThinkers,
Nimefanya tour, toka Rocky city Nzega, nimekaa Igunga siku mbili, juzi nilishinda shelui na nikalala mpaka leo hii niko Singida.

Hali ya Si Si Em si nzuri, iko ICU- Igunga nimewaona watu vikundi kwa vikundi wanasema " Huwezi kusafisha tope ktk maji ya kunywa kwa kumwaga Grisi" Uchavu utaongezeka (contamination itazidi).

Kila ukipita vikona watu wanasema CDM kwanza," Hawa jamaa wana wanaona mbali sana, walipokuja kipindi cha operation Sangara walisema sie wanIgunga tumeigharimu nchi kwa kulichagua fisadi, Sasa si bora tuhamie CDM, Si Si Em yenyewe kila wizara rushwa tu"

Mwingine: Bora Dr Slaa angekuwa anahutubia Taifa japo mara moja kwa miezi mitatu anatupa hali halisi ya mwenenendo wa nchi yetu

Ni kweli askari ni wengi Igunga, hali si mbaya kiusalama ila kama ni tatizo labda liwe la kutengenezwa na hao wageni waliosombwa toka Tabora mjini.

Kijana naona umetumwa kueneza PROPAGANDA za kitoto ambazao hazina logic tena za kujifariji.Kama CUF wamewakaba koo si useme tu.

Tutegemee taarifa nyingi za uongo na kupikwa namna hii zinakuja kutoka cdm

Ukiendekeza tabia hii ya kukataa na kubisha taarifa anayokupa mwenzio tena aliyekuwa eneo la tukio, utaanza kubishana na magazeti, redio na hatimae utakuwa chizi!

U can't be seriously munama ,kyooki walekuninga arawa?

Kunu kitaa wandu ludaaka muda tubu babaako oooohg......

Kuode kindo kyoose aleiningo, shindo sha warimu shim'mbode! Nyi isembo baasi!? Shokon'nyuude!

Ni muda muafaka wa wana Igunga kuliongezea nguvu jesh la Cdm wapinaji wa ukwel pale mjengon. Wasituletee comedian

Back
Top Bottom