Kauli tata!

Haiwezi kufanana na hii "samaki aliwa pande mbili" au hii "figa moja haliegeshi chungu" my curiosity at it's best
 
Embu dadavua hata mimi sijaona utata hapo"


Hii picha nimetumiwa toka kwa Dada mmoja hapa JF akiwa ameweka na sehemu kubwa ya umbo lake kwa kweli sijamuelewa na nimejaribu kumuuliza kageuka bubu!(Upande ule wa yale mambo yetu pasi na shaka ashukuriwe aliumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani)
 
Mbona uji mtamu unanyweka vizuri tu bila kutingisha bakuli...haswa ukiwa umewekwa sukari na siagi ya kutosha...nadhani hao wahenga ni wale wa mwishomwisho
 
Hii picha nimetumiwa toka kwa Dada mmoja hapa JF akiwa ameweka na sehemu kubwa ya umbo lake kwa kweli sijamuelewa na nimejaribu kumuuliza kageuka bubu!(Upande ule wa yale mambo yetu pasi na shaka ashukuriwe aliumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani)

Apo nimepata picha sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…