Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
"Mimi Sikuomba uwaziri, nilibembelezwa kuwa waziri. Bw. Mimi nina kazi yangu inayotambulika kimataifa kule Pretoria. Nikitoka hapa leo narudi kwenye kazi yangu"
Kuna watu watu wanazunguka nchini wakisema kwamba bomu la ajira kwa vijana linakuja kulipuka. Hilo bomu litalipukia kwenye majumba yao na wake zao.....Hii ilitafsiriwa kama ujumbe kwa Mh. Edward Lowassa
Nashangaa Kikwete alipataje urais, uwezo wake ni mdogo sana ndio maana naombwa kila mara kuandamana naye kuokoa jahazi nchi za watu
Muda wa kuongea na wana Mtwara umepita. Serikali haiwezi tena kuongea nao. Gesi lazima itoke
Kelele za wana Mtwara ni sawa na kelele za chura.
Wapinzani ni wapuuzi, wanaongea bila ya takwimu
Watanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi. Watabaki kuwekeza kwenye matunda na juicetu
Kuanza mwakani, Tanzania itaanza kuuza umeme nchi za nje. Tutakuwa na umeme wa kutosha MW 7000
Serikali yetu sikivu ya CCM imekataa kutusikiliza kwa kumwajibisha waziri kama Muhongo kutokana na kauli zake chafu na zenye utata. Muhongo ni janga. Hawa ni baadhi ya mawaziri ambao inabidi watoswe ili kukinusuru CCM kushinda 2015.................Hizi ni baadhi ya kauli hatari sawa na za Mwigulu
ushishangae ndio waziri wenummh,mmh
huyo kwenye red dokta vitumbua aanze na baba yake anayemtelekeza akiomba misaada..Kama nikweli aliongea hayo yote nafikiri Dr Kigwangwala aanze na huyu atakuwa na matatizo ya hakili
Serikali yetu sikivu ya CCM imekataa kutusikiliza kwa kumwajibisha waziri kama Muhongo kutokana na kauli zake chafu na zenye utata. Muhongo ni janga. Hawa ni baadhi ya mawaziri ambao inabidi watoswe ili kukinusuru CCM kushinda 2015.................Hizi ni baadhi ya kauli hatari sawa na za Mwigulu
Mleta mada uko milembe daya endelea na ujinga wako na kupotosha watu ila watu watachuja pumba na mchele.Serikali yetu sikivu ya CCM imekataa kutusikiliza kwa kumwajibisha waziri kama Muhongo kutokana na kauli zake chafu na zenye utata. Muhongo ni janga. Hawa ni baadhi ya mawaziri ambao inabidi watoswe ili kukinusuru CCM kushinda 2015.................Hizi ni baadhi ya kauli hatari sawa na za Mwigulu
Prof.Muhongo ni mkweli yeye hapigi siasa,kwa Watanzania ukweli hawautaki wamezoea kudanganywa.
Prof.Muhongo ni mkweli yeye hapigi siasa,kwa Watanzania ukweli hawautaki wamezoea kudanganywa.
The arrogance in his wording is what we do not want. Hata kama alipigiwa magoti na Rais, hiyo tu ni kumdhalilisha mkuu wake. Huenda anafanya hivyo ili aachishwe lakini aelewe kuwa if he had just a drop of uzalendo in him, basi angevumilia ili aiinue nchi yake kutoka kwenye hilo tope. Lakini anaposema, nina kazi yangu inaningojea kule Pretoria, anaonesha "UFALA" alio nao. Kumbuka ni mother Tanzania aliyekuelimisha wewe. Ulipoenda huko ukamdharau mama. Titi la mama ni tamu, ingawa ni la mbwa. Mtoto lazima ajilambe utamu wa maziwa yake.Jeumemsikia leo kutoka Mwanza akisema " …Hatuwezi kuendelea na ujinga wa kutegemea umeme kutokana na maji…..umeme wetu utaanza kuzalishwa kutokana na gas etc …." TBC. Kwanini anaita wazo la kupata umeme kwa njia yamaji lilikuwa la kijinga.Inawezekana limepitwa na wakati lakini halikuwa …'la kijinga..'Nadhani professor ni mzuri lakini ana shida ya choice of words jambo ambalo akitakakufuata ushauri anaweza kuliacha. Toneya speech zake ina chembe ya arrogance. Wakati unataka kuongoza mageuzi ukileta dharau haisaidii..!