Kauli mbiu ya Dr. Magufuli

Wakuu,

Tafadhali mwenye kauli mbiu ya Mgombea wa Uraisi-CCM Dr Magufuli. Naomba atuwekee!
wizi na ufisadi mbele kwa mbele kurudi nyuma mwiko.na anaanza kwa kupitisha katiba ya mtemi chenge.
 
Hii nimeipenda sana, kwa kauli mbiu hiyo(Pigeni Mbizi) watanzania tuanze kujifunza kuogolea sasa.


Yaani mtu mzima unakwenda kumpigia kura binadamu kama huy😵ct.2015 ndiyo nitapata jibu kuwa Kigamboni wako mazuzu kiasi gani.

Tunalipa Kodi ya mapato ya 170.000 kianachozidi hapo 12% (PAYE).Ukiacha hiyo makodi mengine kedekede .



 
Vunja nyumba za road reserve,uza nyumba za Serikali kwa matajiri
Hili la kuvunja nyumba ambazo zimejengwa barabarani namuunga mkono.na kama akiendelea na msimamo wake wa kufuata sheria mwaka 2020 Mungu akiniweka hai Kura yangu anayo
 
Hyo ndo kauli mbiu
 

Attachments

  • 1436719518836.jpg
    29.5 KB · Views: 357
Nchi hii bwana inahitaji NIDHAMU tu period Napendekeza atumie hii: "MIMI NIPO TAYARI KUCHAPWA VIBOKO NCHI ISONGE MBELE. JE WEWE?"
 

Huo ni wimbo maalum wa kisukuma huimbwa hivi aliselema aleja aliselema aleja mchaka mchaka chiinja!!
Ni wimbo wa kuhamasisha kutokata tamaa hata kama kazi ufanyayo ni ngumu kiasi cha kukufanya uchoke, lakini ukang'ang'ana nayo mpaka mwisho!!
 
Huo ni wimbo maalum wa kisukuma huimbwa hivi aliselema aleja aliselema aleja mchaka mchaka chiinja!!
Ni wimbo wa kuhamasisha kutokata tamaa hata kama kazi ufanyayo ni ngumu kiasi cha kukufanya uchoke, lakini ukang'ang'ana nayo mpaka mwisho!!


We ndiyo umemalizia vizuri !
mchaka mchaka chiinja!!
Kauli ya Raisi mtarajiwa hiyo.Kweli CCM hamjambo ,huku Goli la Mkono refa akilikataa ni kuchinja siyo?
 
"Wachaga hawatachukua vitalu vyetu vya gas na kazima walipe kodi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…