Nilikuja kimya kimya, nikachukua fomu kimya kimya, nikamuomba Mungu kimya kimya, nikarudisha fomu kimya kimya...nikashinda Kupeperusha bendera ya CCM kimya kimya....
Sitawaangushaaa, sitawaangushaaa, kimya kimya, eboooooooooo....!!!
Tell us ur policies, ur areas of priorities, tell us utatufanyia nn..? Just hints, natambua kampeni bado officially, but tupe hints utatufanyia nn, ACHA KUSEMA UTAFUATA ILANI TU YA CCM....yaani utaimeza na kukariri ilani yote ya CCM...? ebooo, ww huna chochote, unameza tu unavyopewa..? Tht is most dangerous...!!!