Kwa maelezo yako inaonekana una waamini ccm .
alafu kuhusu heche ni kweli anatafutwa Kwa nia mbaya na hao hao polisi sijui watekaji.
Kwa hilo tukio kama kweli ccm na polisi hawataki mambo ya utekaji wangewafuatilia hao waliokwwnda kumuulizia heche nyumbani Kwake ila Kwa kuwa ni wa Moja wamekaa kimya.
Kuhusu maridhiano nafananisha na mtu anayeficha maziwa alafu huku chini kaacha wazi