Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Aug 30, 2013 #1
Msamiati R I P Joined Mar 6, 2011 Posts 1,063 Reaction score 700 Aug 30, 2013 #2 Ni kweli hao jamaa hapo nyuma wanalinda msafara wa mbele tena msafara wa VIP
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Aug 30, 2013 #3 Na wana matumaini kibao, kuwa ipo siku watawafkia ili wawakamate!
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Aug 30, 2013 #4 Jamaa wanatumia boat ya Engine wakati askari wanapiga kasia....itawachukua miaka 200! <quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
Jamaa wanatumia boat ya Engine wakati askari wanapiga kasia....itawachukua miaka 200! <quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Aug 30, 2013 #5 Hiyo ndo hali halisi..
Power to the People JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 1,198 Reaction score 900 Aug 30, 2013 #6 This is by choice if you ask me.
Mwevi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 222 Reaction score 56 Aug 30, 2013 #7 tena boti lenyewe linaedeshwa kwa remote, ikiwachukua miaka 50 kuifikia ikiwa itaishiwa mafuta watatoka na dawa bila ya wahusika.
tena boti lenyewe linaedeshwa kwa remote, ikiwachukua miaka 50 kuifikia ikiwa itaishiwa mafuta watatoka na dawa bila ya wahusika.
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Aug 30, 2013 #8 Hapo ndo penyewe ujumbe tosha sana naunganisha na @ kwenye tukio la wizi pale bank ya habib kariakoo kwamba majambazi walisindikizwa na Polisi.
Hapo ndo penyewe ujumbe tosha sana naunganisha na @ kwenye tukio la wizi pale bank ya habib kariakoo kwamba majambazi walisindikizwa na Polisi.